PNEUMONIA

PNEUMONIA IPO.

Hatutakiwi kusahau kuhusu magonjwa mengine kwenye mfumo wa upumuaji kama PNEUMONIA kwa kifupi homa ya mapafu ambayo inaweza kusababiswa na vimelea kama Bacteria haswa (Pseudomonas na Streptococcus nk), ama Fangas kama (Blastomyces na Cryptococcus...nk) ama virusi kama (Influenza na RSV...nk) ambao huvamia mfumo wa upumuaji , Wote hawa hupatikana katika mazingira yetu tunayoishi au kwa njia ya maambukizi baina ya mtu na mtu na ni hatari kwa Afya zetu.

Unaweza pata homa, kikohozi, muwasho wa koho, maumivu ya misuli na uchovu, maumivu ya kifua, kutapika na changamoto ya upumuaji.

Dawa kama Antibacterial(Beta-lactams with/without fluoroquinolones or others) na Antifungal (Fluconazole, Ampho B or others) Antivirals kama (Ribavirin na Acyclovir or others)zinatolewa kwa ajili ya maradhi haya.

Uvaaji wa barakoa/mask na kunawa mikono mara kwa mara ni muhimu kwa Afya yako, jilinde na uwalinde wengine.Sio kila Maambukizi ya mapafu ni CORONA VIRUS

Karibuni kwa Maswali na Ushauri zaidi

Comments

Popular posts from this blog

MADHARA YA DAWA MWILINI

URINARY TRACT INFECTION. (U.T.I)