Posts

Showing posts from May, 2020

PNEUMONIA

PNEUMONIA IPO. Hatutakiwi kusahau kuhusu magonjwa mengine kwenye mfumo wa upumuaji kama PNEUMONIA kwa kifupi homa ya mapafu ambayo inaweza kusababiswa na vimelea kama Bacteria haswa (Pseudomonas na Streptococcus nk), ama Fangas kama (Blastomyces na Cryptococcus...nk) ama virusi kama (Influenza na RSV...nk) ambao huvamia mfumo wa upumuaji , Wote hawa hupatikana katika mazingira yetu tunayoishi au kwa njia ya maambukizi baina ya mtu na mtu na ni hatari kwa Afya zetu. Unaweza p ata homa, kikohozi, muwasho wa koho, maumivu ya misuli na uchovu, maumivu ya kifua, kutapika na changamoto ya upumuaji. Dawa kama Antibacterial(Beta-lactams with/without fluoroquinolones or others) na Antifungal (Fluconazole, Ampho B or others) Antivirals kama (Ribavirin na Acyclovir or others)zinatolewa kwa ajili ya maradhi haya. Uvaaji wa barakoa/mask na kunawa mikono mara kwa mara ni muhimu kwa Afya yako, jilinde na uwalinde wengine.Sio kila Maambukizi ya mapafu ni CORONA VIRUS Karibuni kwa Maswali na Ushauri za...

URINARY TRACT INFECTION. (U.T.I)

Urina ry Tract Infection (UTI) in Pregnancy.! Pregnancy causes numerous changes in the woman’s body that increase the likelihood of urinary tract infections (UTIs) due to Hormonal and mechanical changes that occur in pregnant woman. The disease is caused by the inversion of bacterias (mostly E.coli) in Urinary Tract System  🦠 UTI should be treated as fast as possible in Pregnancy because the complications can affect both fœtus and the mother  ⚠️ Signs and symptoms:  ⁉️ -Discomforts and pain when urinating -Fever, chills and feeling restlessness -Frequent urinating (bladder fullness) -abdominal abnormalities -pain when seated at certain angle The following behaviour might help to reduce the risk of contracting the infection:  🤰🏻 •Avoid Bath and favor the shower •prefer the liquid soap than the bar soap to avoid the colonization of bacterias on the bar soap •drinking water should be the new way of life •washing hand regularly before and after toilet •...

MADHARA YA DAWA MWILINI

Madhara ya Dawa Mwilini (Unwanted effects)(Kwa Uchache): Dawa zinatusaidia sana kupambana na magonjwa na inabidi Zitumike kwa usahihi. Zifuatazo ni baadhi tu ya madhara yanayoweza kusababishwa na dawa matumizi mabaya ya dawa kama ifuatazo: 1)Athari katika utendaji kazi wa moyo •Dawa za High Blood Pressure ama BP kama ilivyozoeleka, huweza kuathiri utendaji kazi wa moyo na kusababisha Hypotension (Presha ya kushuka) Zipo dawa zingine pia zinazoweza kuleta athari . 2)kuvuja damu kusikozuilika (Hemorragic effect) •Dawa ambazo hutumika kuzuia kuganda kwa damu mfano mzuri (Heparine na Asprine) huweza kusababisha kuvuja kwa damu ndani au nje ya mwili, mfano mgonjwa wa vidonda vya tumbo yuko katika hatari ya kupata athari hii iwapo atatumia dawa hizo. 3)Athari kazi kwenye Figo na Ini. •Figo na Ini ni moja kati ya Viungo muhimu mwilini husaidia katika kuvunja vunja dawa na kuzitoa mwilini baada ya kutumiwa na mwili, Dawa nyingi huleta athari kwenye viungo hivi haswa zinaponywewa kwa kiwango ki...